FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza

View attachment 2380315
Unakunywa soda gani? Umesema ukweli ambao uto wanaujua vizuri sana japo wanaamua kujitoa ufahamu!! Niwakumbushe tu tu kuwa mara ya mwisho Yanga kuingia hatua ya makundi kwenye CAF champions league ni 1998!! yaani zaidi ya miaka 20 iliyopita!!
 
Na kauli mbivu katoa.iwe mvua iwe jua.mganga wa manara level zake sio za kitoto.yaani waamini bila manara kuongea kitu kwenye mechi hakuna ushindi
Mganga wake mkali sana. Kuna shabiki kwenye daladala akawa analalimika kama Manara asingefungiwa wasingefungwa, anajua mbinu. Hiyo ni maana halisi ya Utopolo
 
Izi mechi Zina wa aibisha sana Marefa wa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…