mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Iwe mvua iwe jua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ni makundi!?Hayo makundi ya kiboya hata msimu ulioisha simba alivuka hadi hiyo hatua
Makundi!!CAF C.C. mkaburuza mkia.
Haya nimekuja ndugu yangu wasemaje yakhe?😂🤣🤣🤣🤣, tulia, ujue Kuna kesho
Nakusubiri hapa hapa
Kutesa kwa zamu
Unakunywa soda gani? Umesema ukweli ambao uto wanaujua vizuri sana japo wanaamua kujitoa ufahamu!! Niwakumbushe tu tu kuwa mara ya mwisho Yanga kuingia hatua ya makundi kwenye CAF champions league ni 1998!! yaani zaidi ya miaka 20 iliyopita!!Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza
View attachment 2380315
.Iwe mvua iwe juaView attachment 2381339
Na kauli mbivu katoa.iwe mvua iwe jua.mganga wa manara level zake sio za kitoto.yaani waamini bila manara kuongea kitu kwenye mechi hakuna ushindi
Mganga wake mkali sana. Kuna shabiki kwenye daladala akawa analalimika kama Manara asingefungiwa wasingefungwa, anajua mbinu. Hiyo ni maana halisi ya UtopoloNa kauli mbivu katoa.iwe mvua iwe jua.mganga wa manara level zake sio za kitoto.yaani waamini bila manara kuongea kitu kwenye mechi hakuna ushindi
Tulia wewe[emoji23]Izi mechi Zina wa aibisha sana Marefa wa Afrika.