Utopolo wapambane hii mechi imalizikie hapaHizi ndio zile game za ukipata nafasi itumie instantly, hazina muda wa kukupa nafasi ya kurekebisha makosa yako kipindi cha pili, kazi kwenu.
Anakufa mwarabu kokoHapa kuna draw ya magoli
Bangala na Aucho
Umetumwa?Mimi naipenda sana Yanga. Mshana Jr, GENTAMYCINE na wanazi wengine wa Simba hapa jukwaani wanalijua hilo.
Ila kwenye ukweli lazima tuse.
Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.
Kila laheri Uto...karibuni kwenye ulimwengu wa kibabe wa Cacl.Vikosi vyote vya Yanga SC na Al Hilal View attachment 2380718View attachment 2380719
Wakuu leo ndiyo leo, mtoto hatumwi dukani, ngoma ya mtoto haikeshi, usiku wa deni haukawii kukucha.
Leo majira ya saa 10:00 jioni, katika dimba la Benjamin Mkapa, Yanga watashuka dimbani katika mchezo wao dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe, katika michezo yao ya awali, Yanga waliwatoa Zalan na Al Hilal wakawatoa St. George ya Ethiopia.
Yanga inafundishwa na Kocha Prof. Nabi huku wapinzani wao wakinolewa na Kocha Ibenge. Iwe jua iwe mvua timu ya Yanga inahitaji ushindi wa kuanzia goli 3 ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele.
Mechi itakuwa mubashara kupitia Azam Sports 1HD.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tubet mremboKila la kheri Yanga. Waarabu watapigwa 2 kweupeee
Hii ni moja ya lineup bora kabisa! Yanga asiposhinda hii mechi inaweza kuchukua miaka mingine 24 kuingia hatua ya makundi!Kila la kheri Yanga. Waarabu watapigwa 2 kweupeee
Ni line bora sana katika kushambulia ishu ipo kwenye endapo Al Hilal wakifanya counter attackHii ni moja ya lineup bora kabisa! Yanga asiposhinda hii mechi inaweza kuchukua miaka mingine 24 kuingia hatua ya makundi!
DStv wanaonesha kuanzia hatua ya makundiKwa DSTV game ya Yanga na Al Hilal itarushwa channel gani? Msimu iliyopita KBC ilirusha kila game ya Simba Sc CAFCL sijui kama itafanya hivyo leo.
Makundi ndio walionesha kaka, DSTV hauna nayo peke yako.Kwa DSTV game ya Yanga na Al Hilal itarushwa channel gani? Msimu iliyopita KBC ilirusha kila game ya Simba Sc CAFCL sijui kama itafanya hivyo leo.