KBC walirusha kwenye hatua hii? Sio kwenye hatua ya makundi?Kwa DSTV game ya Yanga na Al Hilal itarushwa channel gani? Msimu iliyopita KBC ilirusha kila game ya Simba Sc CAFCL sijui kama itafanya hivyo leo.
Hili joto la saa 10 sana sana litawafaidisha waarabu. Sijui kwa nini Utopolo hamkulifikiria hili...
Ushamba wako🤣Yanga ina roho ya mwenge, mwenge mbio zake ni za vijijini tu, mwenge hautoki nje ya mipaka yetu. Nje ya mipaka yetu Yanga ni giza
View attachment 2380315
Angeanza Mwamnyeto ndo imekua hatari kwa Yanga.Ni line bora sana katika kushambulia ishu ipo kwenye endapo Al Hilal wakifanya counter attack
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
waoga sana.Uto wamekimbia uzi kabisaaa,mpaka wapate goli