Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Walikuwa wanazoom tuAl hilal wanaonekana wako moto nao kwa sasa. Shughuli pevuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanazoom tuAl hilal wanaonekana wako moto nao kwa sasa. Shughuli pevuu
Leo timu lako halichezi na zalan ukumbukeBadoo Nina Imani na timu kubwaa[emoji172]kama mtu kazi tuu
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Nasema hivi...nyie hamna timu ya kucheza champions league. Defense yenu ina leak sana magoli.Dakika bado...
Ilitakiwa wawekwe goli kipindi cha kwanza ili waendelee kupaki basi kwa kuhofia kuruhusu magoli mengi, sasahivi majamaa yamewazoea[emoji16].Al hilal wanaonekana wako moto nao kwa sasa. Shughuli pevuu
haswaaSudan ni ndugu zetu wasituangushe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]