inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kesho siyo mbaliMaji yameloana huko Utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho siyo mbaliMaji yameloana huko Utopolo
Sio ya kutisha kweli ila kuna kucheza mpira na kushindana! Yanga imecheza mpira ndio nafasi zimetengezwa nyingi lakini kuzibadilisha kuwa magoli imekua ngumu! Kwenye hatua kama hizi timu bora inatengeneza nafasi chache na zote inazitumia! Tujiulize swali jepesi kwa nini Morrison ameonyesha uhai kuliko wachezaji wengine?Kama unajuwa mpira utakubaliana na mm kuwa level ya Al hilal siyo ya kutisha kwa hvyo hata yanga anaweza pia kupata goli ugenini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Mabingwa wa nchi wanatambulika TBLWe nyonyo umehamia lini kwa mabingwa wa nchi?
Yanga jifunzeni kwa wenzenu Simba njinsi ya kutumia uwanja wa nyumbani kwenye international games, ukweli mchungu.Kama unajuwa mpira utakubaliana na mm kuwa level ya Al hilal siyo ya kutisha kwa hvyo hata yanga anaweza pia kupata goli ugenini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Simba siyo test!?Hiyo ndio test ilikuwa inasemwa humu na wanajukwaa kuwa hamjawahi kupata test ya kujiita timu Bora.
Kwan Yanga hajawahi kumfunga huyo Al Ahly? Mbona mapenzi yanawapa upofu nyie au hata mlikua hamjazaliwa kipindi Yanga anafanya hivyoWanavyoona mnyama anapiga alahly wanafikiri mambo ni marahisi.
Huwa mnajitia wenge wenyeweKama Simba inavyocheza dhidi ya timu mbili msimu wa tano sasa. Tulia dawa ikuingie.
Yanga akuna teamYanga wamshukuru kipa wao vinginevyo wangeshakula magoli zaidi ya 3
Matokeo yana mipira mitatu,haa haaMpira una matokeo matatu.
Simba ya ngao ya jamii ni tofauti na ya CAF. Umewahi kutana na Simba ya CAF?Simba siyo test!?
🤣🤣🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]