FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Yanga kimataifa bado sana wanacheza kitoto kama vile wancheza na ruvu kosa lao kubwa toka msimu huu uanze walikosa mechi za ushindani za kimataifa kama wangekuwa na akili kipindi kile wanapigwa na viper wangetafakari kushinda mechi za kununua za bongo kimataifa hutoboi hapo safari yao imeisha
We ndio unawapoteza Yanga

Unavyosema kimataifa bado sana ni kama unakuwa unawapa recognization kuwa kitaifa wako vizuri

Yanga ni nzuri akichezesha Ahmedy Arajiga
 
Yanga ni timu bora kabisa katika bara hili, huyo Al Hilal tunaenda kumkogesha mvua ya magoli huko kwao leo tulikuwa tunapasha tu. Tutawapiga kama ngoma, alisikika kima mmoja kutoka pori la Utopolo.
Acha unafiki.
IMG_20221008_180250.jpg
 
Mpira wa leo haupaswi kutazamwa na mtu ambaye ana ndoto za kuwa golikipa

Kwasababu atajikuta anakatisha ndoto zake kwa kufikiria ule msako aliokuwa anakutana nao mdaka mishale pale langoni ataona hakuwa sahihi kwenye ndoto yake
 
Naona simba mnajisahaulisha kama kesho mna mechi..na mtapigwa kama ngoma
 
Back
Top Bottom