FT: Yanga 1(OG)-0 Dar City, goli la kujifunga

Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.

Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Makolo.....NGADA FC wakishinda ujue Kuna mawili ...... either wamepewa penalty or mpinzani kapewa red card .....or both

,...............

"Aliyeniingiza kwenye mkumbo (Simba SC) ni Haji sasa hayupo (Simba SC) nabaki nafanya nini ulipo nipo mwaka jana tumechukua ubingwa (Yanga SC) mwaka huu tuko nafasi ya kwanza (Yanga SC) na tunachukua pia InshaAllah" - Diamond Platnumz.

Umebaki wewe mwananchi kujiunga na group la wanayanga wote nchini
1674141857131.jpg
 
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.

Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Wewe jamaa Yanga inakutesa sana. Ngoja niufufue uzi wako ule maarufu wa takwimu za kibu d na mayele
 
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.

Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.

Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Kwakweli Ngada fc mmeathirika kisaikolojia pakubwa, Timu inayoshinda kwa Neema ya mungu amuisogelei ata robo kwenye ubora na bado mnatubania pua za alosto hapa
 
Makolo.....NGADA FC wakishinda ujue Kuna mawili ...... either wamepewa penalty or mpinzani kapewa red card .....or both

,...............

"Aliyeniingiza kwenye mkumbo (Simba SC) ni Haji sasa hayupo (Simba SC) nabaki nafanya nini ulipo nipo mwaka jana tumechukua ubingwa (Yanga SC) mwaka huu tuko nafasi ya kwanza (Yanga SC) na tunachukua pia InshaAllah" - Diamond Platnumz.

Umebaki wewe mwananchi kujiunga na group la wanayanga wote nchiniView attachment 2488133
Naona mmemkaribisha mla ngada kwenu..na mla ganja yupo kitambo hap...ngoja aje awachangamshe kidogo...mpeni jina basi Simba halimfai tena aitwe chura..
 
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.

Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.

Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Huo ni mpango mkakati wa Kocha Nabi. Kaja na staili ya kushinda goli moya moya tu! kwani tayari tunaongoza kwa gepu la pointi 6. Hakuna haja ya kuwachosha wachezaji,shida makolo hamuwezi tuelewa kwa sasa mtatuelewa mwisho wa msimu.
 
Kwani hapo mmefunga?
 
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.

Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.

Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
We jamaa ngada zimemuharibu.
 
Juzi Simba ilipofungwa kule Dubai mbona mlianzisha uzi kwani ilikua mechi gani sio ya kirafiki? Ingekua ndo simba imefungwa nadhani page ingekua ya mia...
 
Hili jambo sijajua umeliandika for charming kama utani tu au uko serious umeli address kama hoja?
Uwezo wa baadhi ya watu humu uko chini Sana, Kwa hiyo ninapokuheshimu ujue uko tofauti.
 
Back
Top Bottom