OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu hupendi maendeleo ya timu ndogo znazowania kuingia ligi kuu sio!!??Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Makolo.....NGADA FC wakishinda ujue Kuna mawili ...... either wamepewa penalty or mpinzani kapewa red card .....or bothUtopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Ulitaka tishinde ngapi ufurahi?Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Wewe jamaa Yanga inakutesa sana. Ngoja niufufue uzi wako ule maarufu wa takwimu za kibu d na mayeleUtopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Hajui Hata anachokipenda,mbumbumbu ni mzigo wa wizi.Mkuu hupendi maendeleo ya timu ndogo znazowania kuingia ligi kuu sio!!??
Kwakweli Ngada fc mmeathirika kisaikolojia pakubwa, Timu inayoshinda kwa Neema ya mungu amuisogelei ata robo kwenye ubora na bado mnatubania pua za alosto hapaUtopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Naona mmemkaribisha mla ngada kwenu..na mla ganja yupo kitambo hap...ngoja aje awachangamshe kidogo...mpeni jina basi Simba halimfai tena aitwe chura..Makolo.....NGADA FC wakishinda ujue Kuna mawili ...... either wamepewa penalty or mpinzani kapewa red card .....or both
,...............
"Aliyeniingiza kwenye mkumbo (Simba SC) ni Haji sasa hayupo (Simba SC) nabaki nafanya nini ulipo nipo mwaka jana tumechukua ubingwa (Yanga SC) mwaka huu tuko nafasi ya kwanza (Yanga SC) na tunachukua pia InshaAllah" - Diamond Platnumz.
Umebaki wewe mwananchi kujiunga na group la wanayanga wote nchiniView attachment 2488133
Huo ni mpango mkakati wa Kocha Nabi. Kaja na staili ya kushinda goli moya moya tu! kwani tayari tunaongoza kwa gepu la pointi 6. Hakuna haja ya kuwachosha wachezaji,shida makolo hamuwezi tuelewa kwa sasa mtatuelewa mwisho wa msimu.Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Kwani hapo mmefunga?Huo ni mpango mkakati wa Kocha Nabi. Kaja na staili ya kushinda goli moya moya tu! kwani tayari tunaongoza kwa gepu la pointi 6. Hakuna haja ya kuwachosha wachezaji,shida makolo hamuwezi tuelewa kwa sasa mtatuelewa mwisho wa msimu.
We jamaa ngada zimemuharibu.Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Ulikuwepo uwanjani?Kwani hapo mmefunga?
Akikujibu naomba unitag mkuu ; rafiki yako anaonekana kuwa na stress SanaHili jambo sijajua umeliandika for charming kama utani tu au uko serious umeli address kama hoja?
Yanga inakuumiza hata mazoeziniKwani hapo mmefunga?
Huyo jamaa tangu alipoamua kuwa chawa wa Mwamedi anajitoa ufahamu na kujidhalilisha sana.Hili jambo sijajua umeliandika for charming kama utani tu au uko serious umeli address kama hoja?
Uwezo wa baadhi ya watu humu uko chini Sana, Kwa hiyo ninapokuheshimu ujue uko tofauti.Hili jambo sijajua umeliandika for charming kama utani tu au uko serious umeli address kama hoja?
Sasa Yanga kafungwa?Juzi Simba ilipofungwa kule Dubai mbona mlianzisha uzi kwani ilikua mechi gani sio ya kirafiki? Ingekua ndo simba imefungwa nadhani page ingekua ya mia...
Tumefungwa.Kwani hapo mmefunga?