FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Am sorry nataka kujua huyo baunsa wa marioo analinda nini hapo stage? Au anaogopa hao dansa watamkaba
 
Ila kiukweli nimeamini Tanzania ina WEHU.

Imagine watu wameacha kufanya mambo ya msingi kufuatilia Vyura.

Asante Mungu kunipa akili na maarifa.
Hongera mkuu maana iyo akili ya maarifa ndo imekuweka apa kwenye uu uzi
 
Marioo ndiomaana tofauti na shows za mikoani hafanyi pengine, ni mwanamziki mzuri ila hajui kutawala stages.
 
Kila la kheri chama langu Young africans sc katika msimu mpya 2024/2025 💛💚💛

#DaimaMbele. #NyumaMwiko 💚💛💚💛💚
 
Sema party la Dar Young la kishua sana mwendo wa mitwango tu[emoji23][emoji172][emoji1665][emoji169]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…