FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Mkuu, sehemu za siri ni nyingi kuwa specific. Unataka kukatwa nini tukifungwa? Binafsi tukifungwa nasema hivi, nitasikitika sana na niachwe na masikitiko yangu.
Hayo ndio maneno sahihi,kwa mtu sahihi na mwenye akili kubwa
Huyo anaetaka kukatwa kengele apewetu pole
 
Walivyokuwa wamekamilika hawakupelekewa moto kila sekunde? Kipa aliokoa michomo mingapi? Timu ipi ilitengeneza nafasi za magoli kuliko mwingine? Kama kocha angekuwa ana shida ya matokeo, kipindi cha pili angefanya sub angeweka Aziz Ki, Max, Bacca, Yao na Dube tu wasingeweza kustahimili hata wangekuwa kamili. Kuifunga timu ikiwa pungufu sio jambo jepesi hilo pia ulijue Simba ilitolewa na Mashujaa wakiwa pungufu tena tokea kipindi cha kwanza. Taifa stars ilishindwa kumfunga Zambia waliokuwa pungufu tena walikuwa wanaongoza kwa goli moja.
Elewatu kwamba Red Arrows ni watu na chenchi
Bila kuwapunguza pasingepitika
 
x.jpg

Mtu atakula izo tarehe 8
 
Back
Top Bottom