FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Gamondi fundi sana kwa kucheza akili na Gongowazi

Yani pale ulipoona kuchezesha timu mzima ili asisomeke lakin kashazijua silaha zake za maangamiz kati ya waliocheza first half na second half

Endeleeni kushupaza shingo eti hamna timu pale ili mje kuukalia vizuri tarehe 8 hapo
Msiseme sikusema
Naunga mkono hoja
 
SAWA TUNAJUA UNAKAA BUNJU, TEGETA, MBWENI, KIGAMBONI AU CHANIKA...TATIZO LINAKUJA NANI ALIKUAMBIA UBAKI MPAKA SASA HIVI...

ASUBUHI TUNAKUHITAJI UFIKE KAZINI MKEO HAUMWI, WALA HAKUNA MGONJWA NYUMBANI FIKA KAZINI MAPEMA...

KAZI IENDELEE
Kigamboni ipi unaizungumzia maana kigambon ipo Jiran na uwanja WA taifa ukivuka tuu uhasibu, au unaizungumzia kigamboni ya porini huko mwasonga au kimbiji
 
Dar es salaam siku hizi kukiwa na events huwa haina usiku
Sawa Haina Usiku ila Saa moja na nusu Kesho Uwe umefika Kazini No excuse..

Wananchi Day sio On Job training wala sio warsha Ya Kikazi wala sio Semina...

Sasa ndo tutakomoana Kesho full kuchapana Barua Za onyo La utoro na Uchelewaji Kazini..
Nachora mstari mwekundu kwenye Saa Moja na nusu Net🤣🤣🤣
 
Ninyi mna kazi za watu, wakati wengine wana maisha yao
 
Gamondi fundi sana kwa kucheza akili na Gongowazi

Yani pale ulipoona kuchezesha timu mzima ili asisomeke lakin kashazijua silaha zake za maangamiz kati ya waliocheza first half na second half

Endeleeni kushupaza shingo eti hamna timu pale ili mje kuukalia vizuri tarehe 8 hapo
Msiseme sikusema

Kwa wenye akili timu hii ni ya kufungwa si chini ya goli nne, ila Gamondi akaamua atembee na falsafa zake
Ubaya ubwela
 
Back
Top Bottom