Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Refa ameupiga mwingi kuliko hata Mobeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichokifanya hakuna kocha anaweza kuthubutu kufanya wakati timu ipo nyums kwa goli moja. Lakini kabakia kwenye malengo yake pasipo kujali matokeo. Kocha mwingine angewaza kupata matokeo ili kutoharibu shughuli kwa kutowapanga wakina Nkane. Gamondi atatoa tena surprise tarehe 8Gamondi fundi sana kwa kucheza akili na Gongowazi
Yani pale ulipoona kuchezesha timu mzima ili asisomeke lakin kashazijua silaha zake za maangamiz kati ya waliocheza first half na second half
Endeleeni kushupaza shingo eti hamna timu pale ili mje kuukalia vizuri tarehe 8 hapo
Msiseme sikusema
Kwa wenye akili timu hii ni ya kufungwa si chini ya goli nne, ila Gamondi akaamua atembee na falsafa zake
Mkuu, sehemu za siri ni nyingi kuwa specific. Unataka kukatwa nini tukifungwa? Binafsi tukifungwa nasema hivi, nitasikitika sana na niachwe na masikitiko yangu.Yanga Wakitufunga Goli kuanzia 3 Nikatwe Sehemu zangu Za Siri Mkazitupe Mto msimbazi 😅😅..
Na yanga Wakitufunga Goli kuanzia 2 Mnikumbushe Nihame timu
Kumbuka hizi match sio tu ili team zinufaike pekee, hata mwamuzi anakuwa katika kujifunza kuzingatia na kufuata taratibu na kusimamia sheria za mpira.Kwenye Friend match huwezi kutoa kadi kama Unatoa Njugu ili watu watafune...
Refa alitakiwa kujua hilo ni bonanza na sio Match ya Ligi au CAF au FIFA
Umeangalia ball jana?Yanga ya mwaka huu ni moto wa kuotea mbali, wanatandaza BOLI hao
Binafsi ninaamini sisi Simba tuna mpira mzuri kuliko Yanga.Mkuu, sehemu za siri ni nyingi kuwa specific. Unataka kukatwa nini tukifungwa? Binafsi tukifungwa nasema hivi, nitasikitika sana na niachwe na masikitiko yangu.
Shabiki oya oya!!Imefanyaje
Unaongea kama mtu anaejua mpira au shabiki oya oya
Tarehe 8 atajulikana anaye jinyea, maana mlisha Anza kunenepa😃😃Mawazo ya watu wanaojinyea.
Well unawaongelea kina Mwijaku labdaTall dark never disappoint 😍
Tukutane tar 8Sioni mbele 🤣🤣
Comments reservedSasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025 kufanyika.
Utambulisho huo utakamilishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows kutoka Zambia.
=====
00' Kipenga kimepulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga 0-0 Red Arrows.
04' Red Arrows wanapata free kick ya kwanza kuelekea Yanga baada ya Boka kumdondosha Anthony.
06' ⚽ Rick Banda anaitanguliza Red Arrows kwa bao la mapeeema, ni mpira wa kichwa.
07' Almanusura Pacome airejeshe furaha ya wanayanga baada ya gonga kadhaa, juhudi zinashindwa kuzaa goli.
13' Aucho yuko chini baada ya kuwania mpira wa juu na Banda. Anarejea uwanjani baada ya kupata huduma ya kwanza.
15' Mzize anajaribu shuti kali kutoka nje ya 18 lakini mpira unapaa juuu ya lango la Red Arrows.
21' Yanga wanapata kona na kuianzisha chap chap, mipango yao inashindwa kufanikiwa.
24' Red Arrows wanapata kona mbili mfululizo, Diarra anauweka mikononi barabara.
25' Baleke anapata mpira maridhawa lakini filimbi ya offside inalia.
26' Yanga wanaumiliki mpira langoni kwa Red Arrows bila kupata bao.
28' Boka anaingiza krosi ya kasi lango la Red Arrows, mpira unatoka upande wa pili bila kuguswa.
29' Dickson Job anatoa boko, Red Arrows wanashindwa kutumia nafasi
30' Chama anapambana peke yake, mabeki wa Arrows wanamzidi ujanja
31' Abuyaaaa, mlinda mlango anatema shuti kali la Abuya.
33' Pacome anapunguza mtu ndani ya box na kumpa Mzize, mpira wa kichwa unaenda juu ya lango.
35' Abuya anajaribu tena, mpira unaenda pembeni ya lango.
37' Mzizee anakwenda kwa kasi, anamkuta mlinda mlango wa Arrows amekaa imara anamsubiri.
39' 🟡Mubili analamba kadi ya njano ya kwanza kwenye mchezo
39' Chama anafanya kile anachoweza zaidi, mpira wa free kick unagonga mtambaa wa panya. Chama alidondoshwa nje kidogo ya 18
41' Pacome anaingia mwenyewe kwenye 18, beki anamchomoa.. Kona
45' 🟡Mchee anapewa kadi ya njano baada ya kudunda mpira chini akiashiria kutokubaliana na maamuzi ya refa. Alitumia ugali kumtoa Pacome kwenye njia.
45+2' Duke Abuya anapasua mkwaju wa tatu, mlinda mlango wa Arrows anamwambia hajaribiwi.
45+3' Mpira unaenda mapumziko, Yanga 0-1 Red Arrows
45' Mbugi imerejea, Yanga wamerudi na uzi wa njano huku Arrows wakivaa nyekundu.
47' Yanga imerejea na mabadiliko makubwa kwenye kikosi, hadi mlinda mlango, Diara ameenda benchi.
57'🔴 Mubili anapewa nyekundu baada ya kupata kadi ya pili ya njano, aliumia akiwa nje ya uwanja lakini alirejea kutibiwa ndani ya uwanja
Hebu ongelea mpira kama mtaalamu.Na uzuri kina Debora hawatahitaji kuifikia hiyo beki yao mbovu.
Na Aziz Ki, Mzize, Duke na Dube nao hawatungui hizo beki zenu??Wanawadungua kutokea mbali.
Unafanya analysis hiyo kupitia mechi ya jana ambayo Yao kakaa nje, Bacca yupo nje, Maxi yupo nje ambao hawa wote ndio wanaotengeneza shape ya kiulinzi ya Yanga. Mmedanganyika vibaya sana mkuu. Tukienda katika kimpira Red Arrow walikuwa na kipa haswa ila score board ingesoma 4+ sijui pengine na nyie mna kipa atakayekuwa na kiwango kikubwa cha kufanya kazi kama kipa wa Arrows.Binafsi ninaamini sisi Simba tuna mpira mzuri kuliko Yanga.
Game ijayo inaenda kwenye matuta, tunabeba ndoo.
Hii community shield [emoji2924] ni yetu mara tatu mfululizo.
Yes, kidogo Uto ni wazuri ila wanakabika vizuri, beki inapitika.
Na uzuri kina Debora hawatahitaji kuifikia hiyo beki yao mbovu.
Wanawadungua kutokea mbali.
Ila aliwafunga wakiwa pungufu. Wakati wamekamilika ilikua tiamaji tiamajiAlichokifanya hakuna kocha anaweza kuthubutu kufanya wakati timu ipo nyums kwa goli moja. Lakini kabakia kwenye malengo yake pasipo kujali matokeo. Kocha mwingine angewaza kupata matokeo ili kutoharibu shughuli kwa kutowapanga wakina Nkane. Gamondi atatoa tena surprise tarehe 8
Walivyokuwa wamekamilika hawakupelekewa moto kila sekunde? Kipa aliokoa michomo mingapi? Timu ipi ilitengeneza nafasi za magoli kuliko mwingine? Kama kocha angekuwa ana shida ya matokeo, kipindi cha pili angefanya sub angeweka Aziz Ki, Max, Bacca, Yao na Dube tu wasingeweza kustahimili hata wangekuwa kamili. Kuifunga timu ikiwa pungufu sio jambo jepesi hilo pia ulijue Simba ilitolewa na Mashujaa wakiwa pungufu tena tokea kipindi cha kwanza. Taifa stars ilishindwa kumfunga Zambia waliokuwa pungufu tena walikuwa wanaongoza kwa goli moja.Ila aliwafunga wakiwa pungufu. Wakati wamekamilika ilikua tiamaji tiamaji
Ninachoweza kusema refa ameuburuza mwingi amewatengenezea kina Mobeto assist na akapunguza mchezajiWalivyokuwa wamekamilika hawakupelekewa moto kila sekunde? Kipa aliokoa michomo mingapi? Timu ipi ilitengeneza nafasi za magoli kuliko mwingine? Kama kocha angekuwa ana shida ya matokeo, kipindi cha pili angefanya sub angeweka Aziz Ki, Max, Bacca, Yao na Dube tu wasingeweza kustahimili hata wangekuwa kamili. Kuifunga timu ikiwa pungufu sio jambo jepesi hilo pia ulijue Simba ilitolewa na Mashujaa wakiwa pungufu tena tokea kipindi cha kwanza. Taifa stars ilishindwa kumfunga Zambia waliokuwa pungufu tena walikuwa wanaongoza kwa goli moja.