Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kuna aibu zaidi ya hii ya leo!? Bahasha hadi mechi ya "siku zenu"!? Pira bovu sijapata ona, mpangilio wa shughuli yenyewe ulikuwa wa ovyo mno yaani nimejuta kupoteza muda wangu kwenye Tv.Simba itaenda kupata aibu ambayo haijawahi tokea