YupojeHuyu kipa π«’π
SawaTusubirie tar 8 tuone maajabu
Huyo hata siku ameitwa kusaini mkataba alienda akichechemeaNani kaona kuwa Dube anachechemea?
Concentrate kwenye soka sasaTamasha la leo ni kama tamthilia ya Isidingo
Yani ilitakiwa iwe hivi hizi draw kinyonge sanaBado sijaridhishwa; ilitakiwa 3-0 au 3-1
Vipi na nyinyi mnabebwa hadi pre season matchAhahaha sawa ila ile timu yakujisifia kwamba mliwashinda kwa mpira ule
UsinipangieConcentrate kwenye soka sasa
πππ Refa wa leo, kaonyesha uzalendo..Ampibia Tunaomba Refa Alipwe Pesa zake kwa wakati tumezoea kuwaona hamlipi watu kwa wakati maana hata wachezaji hamlipi kwa wkati na mnakesi nyingi FIFA..
Mhurimieni Refa ana FAMILIA ..mlipeni kwa wakati
Ananikosha na urukaji wakeYupoje
79Dakika ya ngapi?
Mzee wa kuwachomaMsimu mpya, Mwamnyeto ni yuleyule
78 sekunde 53Dakika ya ngapi?
Nasikiliza redio apa wana danganya itakua π€Ananikosha na urukaji wake