FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Simba tangu wamefungwa bao la 1 hawajui wafanye niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni maneno ya mtangazaji sio yangu.
 
Woooooyooooooo.
 
Wazee dayπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa inatakiwa wakatwe nyege leo. Wanatakiwa wapigwe kono la nyani tena wasichekewe. Leo inatakiwa maji Waite mma mbwa hizi. Wao si walikuwa wanajifanya Masandawane.
 
Nipo na mtu wa Tff hapa najua kila kitu usibishe.Mpango uliopo ni Yanga achukue ubingwa mara 5 mfululizo kuvunja rekodi ya Simba ya mara 4

Story za mtaani. Yanga kachukua mara ngapi mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…