FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

IMG_20240423_202342.jpeg
 
Kalpana vipi hali yako huko baada ya kukandwa goli saba home and away 🤣🤣🤣🤣🤣
Kawaida tuu mbonaa? Tunawaangalia tuu na kuwazoom mnavyopaparuka...kwanza derby ilipoaaaaa...halafu hata kufunga kwenu ni kama mlibahatisha tuu yani ni kama mlioteaa...hahah
 
Mwee...naona wamewatafutieni kombe lengine angalau msitoke kapa....ila ndio mkaze tako leo msije mkambwela tena
 
Back
Top Bottom