FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Kabisa Mtani mnahitaji utulivu mno ili msiwavuruge viongozi mambo yakaharibika zaidi.

Poleni.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Simba ikitulia Yanga panawaka,Yanga pakitulia Simba panawaka. Dunia duara
 
Back
Top Bottom