Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Dooh!!Kulikuwa cha maandalizi ya msimu ujao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooh!!Kulikuwa cha maandalizi ya msimu ujao.
Mashabiki Wa Young Africans Tunatakiwa Kuamka Saa Ngapi Mtani?Niko tena winza winzaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Apiia. 😀Mo hajawahi ingia uwanjani, angezirudisha
🤝Napokea salamu zangu kwa moyo wote
Hahahaaa. Kama ni hivyo hapo mission yake imekuwa accomplished. 😀😀aliwahamasisha sana wajitahidi goli zisizidi nne (4)
alijua wanapigwa ila juu chini zisizidi nne
Tumeshawazowea Swahiba. 😀makolo wana hasira balaa 😀
Mi nimeamka zangu saa tano na nusu. 🤣Mashabiki Wa Young Africans Tunatakiwa Kuamka Saa Ngapi Mtani?
Bebe hajanywa chai leo kwa hiyo?Mi nimeamka zangu saa tano na nusu. 🤣
🤣 halafu wakifanya vibaya wanamlaumu mangungu wakifanya vzr wanamsifia mo 😀Tumeshawazowea Swahiba. 😀
Hali si shwari jahazi linazama😂😂😂 nilishatulia Mtani.
Vipi hali yako Mtani?
Kesho Jumatatu Nimesikia Kuna Mapumziko Kwa Young Africans WoteMi nimeamka zangu saa tano na nusu. 🤣
Mi mmoja wapo leo nimelala tu home. 😜Kesho Jumatatu Nimesikia Kuna Mapumziko Kwa Young Africans Wote
Kabisa Mtani mnahitaji utulivu mno ili msiwavuruge viongozi mambo yakaharibika zaidi.Hali si shwari jahazi linazama
Hao ndo mbumbumbu sa. 😂😂🤣 halafu wakifanya vibaya wanamlaumu mangungu wakifanya vzr wanamsifia mo 😀
Hahahaa. LolBebe hajanywa chai leo kwa hiyo?
Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Simba ikitulia Yanga panawaka,Yanga pakitulia Simba panawaka. Dunia duaraKabisa Mtani mnahitaji utulivu mno ili msiwavuruge viongozi mambo yakaharibika zaidi.
Poleni.
Ilikuwa zamani hiyo Mtani.Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Simba ikitulia Yanga panawaka,Yanga pakitulia Simba panawaka. Dunia duara