Mambo poa tu vipi mzima weweMambo
Shabiki lialia huyo shemeji yetu.Why umetag sasaππ
Hujaliona?πππππLipi
Kabisa.Mimi kama shabiki wa simba, nimefurahi goli moja tumepata ila hii timu yangu bado inatia shaka
Hata wasipoandikaweka mbili moja hapo juu
78Dakika ya ngapi?
Simba haina teamwork,morali ya wachezaji ipo chini,na hii staili ya uchezaji ni slow sana ime prove failureKabisa.
MsaidieMusonda kakosa goli
Mimi namuoa mkuuπ€£π€£Kwahiyo demu anakuoa?
Na watoto unamzalia,
One man down.
HaiwezekaniBado mbili turudishe na kuongeza