escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Tofauti na ile faulo yake mbaya, sijaona baya lolote la Inonga.Inonga mbwembwe zinamgharimu sasa
Tukachezw daraja la kwanzaa kabisaaaMan U msimu huu mnashuka daraja.
hatari sanaMan U msimu huu mnashuka daraja.
We jamaa mbona hivyo? Mambo ya Man U yanaletwaje huku kwa Simba na Yanga?Na hii ni halftime
View attachment 2323185
Championship inawahusu hahahTukachezw daraja la kwanzaa kabisaaa
Akiitwa hivo muafrika wanasema watu weusi tunabaguliwaHawa tangazaji waache kumuita mchazaji wa Simba "Mzungu" hawawezi kutaja jina lake basi wamuite kwa utaifa wake "mselbia" na hii inabidi ikemewe mapema.
Na ronaldo yupoHii nimeipenda zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado moja linatosha mkuu?Hilo hilo lnatutosha
Fiston Mayele ametetema.Nini kimetokea
naunga mkono hoja.Hawa tangazaji waache kumuita mchazaji wa Simba "Mzungu" hawawezi kutaja jina lake basi wamuite kwa utaifa wake "mselbia" na hii inabidi ikemewe mapema.