B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Wamepata matumainiNaona Uto wameanza kukomenti tena [emoji23]
DuuuuuDakika ya 68
Hivyo 69-90 =?
Msijifiche huku, kwa Mkapa mnatolewa malindaNa ronaldo yupo
View attachment 2323188
Si naskia Mayele alifunga lapili au?Dk 70 YNG 1 - 1 S.S.C
Kwani goli ni ngapi ngapi naona heading inasomeka 1-1 au goli la pili lilikataliwa?
Walikimbia kabla mechi haijaisha πWamepata matumaini
Ronaldo kaingia [emoji1]
Nini mkuuAaah[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Kafanyaje?Mayere [emoji20][emoji20]
Nani atawakemea wakati hata Ahmed Ally na yeye anamuita mzungu (mdhunguuu)Hawa tangazaji waache kumuita mchazaji wa Simba "Mzungu" hawawezi kutaja jina lake basi wamuite kwa utaifa wake "mselbia" na hii inabidi ikemewe mapema.