Mikwaju wakati mmeshakula ndoo nyingneKwa hiyo dakika 90 zikiisha, tutakwenda extra time au mikwaju ya penati?
WanathimbaaaaaaCbumaaaa
Basi bana
Yametimia Yanga 2-1 Simba FTMpira dakika 90' ila kwa haraka haraka bila kupepesa macho hii mechi Yanga inashinda
Wozaaaa....Woyooooooooooooooooooooooooooooooooo
[emoji23][emoji23]Wanathimbaaaaaaaa
Kuweni wavumilivu watani. Mpira ni dakika 90. Bado kuna muda wa kupambana.Basi bana
Mleteni mdhunguiuuDakika ya 80
Yanga 2 Simba 1
Mayele