majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
hahahaha, kubishana na mkenya heri ubishane na jiwe linaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha, kubishana na mkenya heri ubishane na jiwe linaelewa
labda club bingwa ya kule kariobangi, mathare au kibera
Ona Ulivyo Kilaza
Hahaha nimebaki kucheka tuhahahaha, kubishana na mkenya heri ubishane na jiwe linaelewa
Tanzania ni nchi dhaifu sana...... Leopards lazima achune mtu Leo[emoji851]Ona Ulivyo Kilaza
Ndio maana tunasema wakenya wa sasa jF Ni hovyo kichwani
Sasa Kwa picha yako hapo unamaanisha Gormahia inashindwa na Hiyo Kariobang ktk ubora sindio!!
Buda boss.. Lamba lolo..mathare utd ingechapa yanga 5-0Ona Ulivyo Kilaza
Ndio maana tunasema wakenya wa sasa jF Ni hovyo kichwani
Sasa Kwa picha yako hapo unamaanisha Gormahia inashindwa na Hiyo Kariobang ktk ubora sindio!!
Mlisha pokea KimokoTanzania ni nchi dhaifu sana...... Leopards lazima achune mtu Leo[emoji851]
Sent using Jamii Forums mobile app
Come againFollowing keenly Simba will be the only Tz team in the semis
Na kamchuna mtu kweliTanzania ni nchi dhaifu sana...... Leopards lazima achune mtu Leo[emoji851]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uliifita !!
[emoji16][emoji16][emoji16]....kweli wadanganyika ni shida tupu wakipata afueniKwani uliifita !!