Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,799 Reaction score 22,209 May 2, 2024 #321 Dr am 4 real PhD said: Huwa nachukia sanaaa kila mechi yanga inashinda ππππ Click to expand... Taratibu kaka, ujue hii yanga kama mjamzito anakereka na ushindi wake inaweza msababishia uchungu akazaa kabla ya wakati ππ
Dr am 4 real PhD said: Huwa nachukia sanaaa kila mechi yanga inashinda ππππ Click to expand... Taratibu kaka, ujue hii yanga kama mjamzito anakereka na ushindi wake inaweza msababishia uchungu akazaa kabla ya wakati ππ
charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,848 Reaction score 4,146 May 2, 2024 #322 Daima mbele, nyuma Simbaa!
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 May 2, 2024 #323 SAYVILLE said: Hiyo ndiyo ligi? Mmeulizwa swali rahisi tu ni mchezaji gani huyo mwenye shida huko FIFA, mnajiumauma tu. Hata nyie wenyewe hamumjui Click to expand... Sishangai kwanini tuliletewa Manzoki kwenye uchaguzi Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
SAYVILLE said: Hiyo ndiyo ligi? Mmeulizwa swali rahisi tu ni mchezaji gani huyo mwenye shida huko FIFA, mnajiumauma tu. Hata nyie wenyewe hamumjui Click to expand... Sishangai kwanini tuliletewa Manzoki kwenye uchaguzi Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 May 2, 2024 #324 Ivan Stepanov said: Taratibu kaka, ujue hii yanga kama mjamzito anakereka na ushindi wake inaweza msababishia uchungu akazaa kabla ya wakati ππ Click to expand... Haina namna
Ivan Stepanov said: Taratibu kaka, ujue hii yanga kama mjamzito anakereka na ushindi wake inaweza msababishia uchungu akazaa kabla ya wakati ππ Click to expand... Haina namna