FT: Yanga(Kikosi cha Kwanza) 0 Vs Rhino 0

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Habari nilizozipata jana jioni ni kwamba Yanga SC kikosi cha kwanza ilicheza kikosi cha kwanza na kutoka sare na Rhino ya Tabora

Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare na Kinondoni MC
 
Eti kocha Wa Yanga baada ya SARE anadai eti alichezesha kikosi cha pili watanzania Kwa utetezi
 
Habari nilizozipata jana jioni ni kwamba Yanga SC kikosi cha kwanza ilicheza kikosi cha kwanza na kutoka sare na Rhino ya Tabora

Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare na Kinondoni MC
Wewe ulitoa nao ngapi ngapi?
 
Habari nilizozipata jana jioni ni kwamba Yanga SC kikosi cha kwanza ilicheza kikosi cha kwanza na kutoka sare na Rhino ya Tabora

Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare na Kinondoni MC
Yaan wewe jamaha ni chizi achana na ushabiki wa kipumbavu hii ndo first eleven ya yanga
 
Haters utawajua tu...bora sisi kuliko nyie na kikosi chenu cha 1.3 Billion mnahenyeshwa na Mtibwa/Azam
 
Habari nilizozipata jana jioni ni kwamba Yanga SC kikosi cha kwanza ilicheza kikosi cha kwanza na kutoka sare na Rhino ya Tabora

Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare na Kinondoni MC
mkuu upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…