OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Habari nilizozipata jana jioni ni kwamba Yanga SC kikosi cha kwanza ilicheza kikosi cha kwanza na kutoka sare na Rhino ya Tabora
Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare na Kinondoni MC
Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja la kwanza baada ya kutoka sare na Kinondoni MC