mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #201
Bado hazijatimia hizo 30Yanga wanawaachia jamaa kupanga mashambulizi...
Hii mechi Yanga alipaswa ashambulie sana hadi dak 30 awe na goli walau 1...
Dk 15
Yanga 0 - 0 Rivers
Mpaka Sasa wanacheza Chini ya kiwangoWananchi wanatandaza soka maridadi kabisaa
Ana mipaja lainiAnawaonesha msuli wake
Bado hazijatimia hizo 30
Mpaka Sasa wanacheza Chini ya kiwanWananchi wanatandaza soka maridadi kabisaa
Mkate kichwa tuu[emoji23][emoji23][emoji41]Ana mipaja laini
Afu uyu boya ana kosaga sana wampime macho
Aziz naye kazidi, khaah [emoji23]
Mzize kakosa goli la wazi
HUYU JAMAA TOKA ABADILISHE DINI AMEKUWA WA HOVYO SANA[emoji849][emoji849]Mzize ni boya
We ulitaka wachezaje mkuu? Mbona vijana wametulia na wanasaka goli la mapema Kwa uchu mkubwa?Mpaka Sasa wanacheza Chini ya kiwango
Form na dini vinahusiana nnHUYU JAMAA TOKA ABADILISHE DINI AMEKUWA WA HOVYO SANA[emoji849][emoji849]