FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Aucho yupo chini baada ya kupigwa kikumbo...
 
Hatari pale lango la Yanga ila ilikuwa tayari ni offside
 
Mzizeeee....kakosa

Mzize anakosa nafasi ya wazi kwa kushindwa kuchop mpira juu ya kipa, mpira unaenda nje
 
Back
Top Bottom