Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
228Super sport vipi hawaonyeshi???
Profesa Nabi bhana! Kwa kweli nimemnyoshea mikono! 🙌Kikosi cha YangaView attachment 2605196
Nilikuwa namaanisha 2-0, Rivers 2 yanga 0Hesabu za kutoa na kujumlisha unajua kweli?
Endeleeni kusikilizia maumivu. Kwa sasa wawakilishi pekee wa Kimataifa nchini ni Yanga.UZI UMEPOA KAMA MGONJWA WA U.T.I
Kila la kheri Rivers united [emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Mzee wa surprise. Na uzuri siku hizi watu wakiona kikosi hawakosoi kitu kama ilivyokuwa zamani, bali wanakaa kwa kusubiri nini kusudio la Nabi. Ila zamani tulikuwa na ile tabia ya kusema Nabi analeta mambo gani badala ya fulani angempanga fulani. Lakini katufundisha tuwe watulivu tuangalie mpira tu uwanjaniProfesa Nabi bhana! Kwa kweli nimemnyoshea mikono! [emoji119]
Angalia wachezaji wenye mbio kama Moloko, Musonda na mabeki wazoefu kama Lomalisa, Juma Shaban, nk. Wanaanzia nje!! [emoji848]
Kila la heri kwa Wananchi.
Ulikuwa unamaanisha 2-0, na wakati uliandika 1-0!!!!Nilikuwa namaanisha 2-0, Rivers 2 yanga 0
Ahaa kumbe sawaNilikuwa namaanisha 2-0, Rivers 2 yanga 0
Wenzako wanasherehekea kombe la robo fainali. Wewe uko kupuyanga huku!Maluza wanamenyana leo kwa Mkapa.
Kaoshe vyombo usubiri kucheza kombe la mapinduziMaluza wanamenyana leo kwa Mkapa.