FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Simba bana... Yani mnatuletea habari za sumu sisi... Tunawanyukaa...🤣🤣🤣
 
Kwa sasa faraja ya simba ni kuifunga yanga goli 2 na kutolewa kiume robo fainal ila kiuhalisia wanateseka sana yanga kusonga semi final pamoja na kuwabeza kuwa ni kombe la loser
 
Kikosi cha Yanga
IMG_20230430_183208.jpg
 
Profesa Nabi bhana! Kwa kweli nimemnyoshea mikono! [emoji119]

Angalia wachezaji wenye mbio kama Moloko, Musonda na mabeki wazoefu kama Lomalisa, Juma Shaban, nk. Wanaanzia nje!! [emoji848]

Kila la heri kwa Wananchi.
Mzee wa surprise. Na uzuri siku hizi watu wakiona kikosi hawakosoi kitu kama ilivyokuwa zamani, bali wanakaa kwa kusubiri nini kusudio la Nabi. Ila zamani tulikuwa na ile tabia ya kusema Nabi analeta mambo gani badala ya fulani angempanga fulani. Lakini katufundisha tuwe watulivu tuangalie mpira tu uwanjani
 
Back
Top Bottom