Halafu mwananchi mwenzangu umeadimika sana. Tutafutane bhana. Maisha yenyewe ni mafupi haya.Kila lakheri Yanga , kama kawaida usituangushe 🤪
Wanalinda walichonachoWananchi wanacheza as if wapo ugenini.
Sijui anaharaka ya nini me ananiboaaa[emoji19]Mzize hajatulia kabisa
Itabidi maana anajifunua mbele ya watotoMkate kichwa tuu[emoji23][emoji23][emoji41]