data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
CCM yako ni LAANA mkuu.. kila siku tunawaambia hapaInabidi watu waache ngazi. Huu sasa ni upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM yako ni LAANA mkuu.. kila siku tunawaambia hapaInabidi watu waache ngazi. Huu sasa ni upuuzi.
wanaumia ama wamefurah maana wamepelekewa moto balaaaaaHamna Rivers ndiyo wanaumia zaidi kwa mpira kusimama
KabisaaaNakazia
mkuu una link inayonyesha huu ushuziInabidi watu waache ngazi. Huu sasa ni upuuzi wa hali ya juu.
Dah.....ikiwezekana hata maza nae atupishe tu 🤣 🤣🤣Na waziri wa michezo nae atimuliwe hii mara ya pili watu hawabadiliki
wakuwatimua naniNchi yetu kwasababu haina utamaduni wa watu kujiuuzulu inabidi watimuliwe tu
Watu wako karne ya 21, wewe unaleta story za karne ya 20!! Kuna tatizo mahali bila shaka.Simba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, nusu fainali kitu gani?
Mjinga pekaa ndiyo anaweza kuandika hiviSimba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, iweje useme kwa mara ya kwanza?
Wafurahi vipi wakati wako nyuma goli 2 na miili inapoa?wanaumia ama wamefurah maana wamepelekewa moto balaaaaa
unasema kama utani ila huu ndo ukwelDah.....ikiwezekana hata maza nae atupishe tu 🤣 🤣🤣
Inasikitisha sanawakuwatimua nani
wenye dhamana wenyewe hawajielewi
Unauhakika gani kama uwanja hu hutumia power kutoka tanesco?
By the way hi ni AIBU
Yaan mala mbili nzima taa zinazimika hatujifunzi?
Mbona uwanja wa azam haukuwah kuzimika
Poor management
Pool!
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza #rage#Simba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, iweje useme kwa mara ya kwanza?