FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Yanga Leo Kuna mashabiki wengi kuliko kawaida
 
Aibu Kwa nchi
 

Attachments

  • Screenshot_20230430-193851.png
    51.4 KB · Views: 1
Nchi yangu hii aibu sana. Kwani hakuna maandalizi ya uwanja ikiwa ni pamoja na kutest taa?
 
Unauhakika gani kama uwanja hu hutumia power kutoka tanesco?

By the way hi ni AIBU
Yaan mala mbili nzima taa zinazimika hatujifunzi?
Mbona uwanja wa azam haukuwah kuzimika
Poor management
Pool!

Unatumia umeme wa Tanesco...

Shida ya leo sio uwanja kukosa umeme bali taa zimezima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…