Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kitu ni siasa wewe kibwengo.CCM yako ni LAANA mkuu.. kila siku tunawaambia hapa
Utakufa kwa roho mbaya yako. Wewe umeshatolewa subiri wanaowakilisha nchi wafanye kazi yao.Huu uwanja ufungiwe tu hadi Super League ianze kupisha ukarabati. Kwanza timu ya maana Simba imeshatoka, hawa wengine wanatupotezea muda tu na kuiba pesa za wageni.
Tatizo lile lile linajirudia mara ya pili,juzi mechi ya watani ilingiza karibia 400+m mwenyeji akalipwa 150+m,hizo zilizobaki kweli zimeshindwa kutatua hili tatizo na juzi kulikuwa na mechi ya Simba na Wydad kuna mgao mwengine umeenda kwa ajili ya uwanja. Yaaani daaaah.
Madunduka fc tulegezeeni basi[emoji1787]Yule mchungaji alikuwa sahihi, Yanga mna laana
Siasa ni kila kituuuSio kila kitu ni siasa wewe kibwengo.
We veepee? Hiyo Abiola Cup no jina tu, lakini mashindano yalikuwa yakiendeshwa na CAF.Kombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende
Wewe na yeye hamna utofauti wote malofaYule mchungaji alikuwa sahihi, Yanga mna laana
Ni kukariri tu, sasa hivi hadi ukienda kucheza na Ihefu wanataka kucheza usikuMechi za weekend kwanini zichezwe usiku?
Si kweli.Siasa ni kila kituuu
Ipo sema haioneshi sijui shida niniScars hii mechi kweny YACINE siioni vp ww unaipata channel namba ngapi
IpoMimi hata siiangalii mechi yenyewe, ila ngoja nikaribu kucheki kwenye Yaccin kama imewekwa