FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Tatizo lile lile linajirudia mara ya pili,juzi mechi ya watani ilingiza karibia 400+m mwenyeji akalipwa 150+m,hizo zilizobaki kweli zimeshindwa kutatua hili tatizo na juzi kulikuwa na mechi ya Simba na Wydad kuna mgao mwengine umeenda kwa ajili ya uwanja. Yaaani daaaah.
 
Huu uwanja ufungiwe tu hadi Super League ianze kupisha ukarabati. Kwanza timu ya maana Simba imeshatoka, hawa wengine wanatupotezea muda tu na kuiba pesa za wageni.
Utakufa kwa roho mbaya yako. Wewe umeshatolewa subiri wanaowakilisha nchi wafanye kazi yao.
 

Kaka hu ni upuuzi mkuu
Yan ni ujinga wa kiwango cha juu mnoo
 
Halafu leo Aziza Ki kaambiwa na refa hamna anayetaka kuona tuvipaja twake. Nadhani leo itakuwa mwisho.
 
Kama ni taa mbna zmewaka tena,.
Hio ni nguvu ya umeme ni ndogo sana hakuna Cha hitilafu za taa Wala Nini ni tatizo la umeme
 
Kombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende
We veepee? Hiyo Abiola Cup no jina tu, lakini mashindano yalikuwa yakiendeshwa na CAF.
Mwisho unaweza pia kusema Kagame Cup siyo ile ilikuwa awali inaitwa EA Club Championship inayoendeshwa na CECAFA. Ni jina tu la mashindano inategemea na sponsor ni nani wakati husika.
Hata EPL zamani ilikuwa ikiitwa Barclays premier League ilipokuwa sponsored na Barclays.
Acha umbumbumu uliopipitiliza jomba.

Hafu nani kakuambia Abiola alikuwa Rais wa Nigeria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…