FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Vitimu dhaifu vimejazana huko mnashangilia kama watoto, hamuwezi kujilinganisha na Simba Sc aliekwenda kwa bingwa mtetezi wa kombe la wakubwa akaondolewa kwa penalti, msijitoe akili kama watoto wadogo..

Nawasubiri kwenye final ya ASFC niwakande tena nyie watoto watamu sana[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Mkuu malizia na kwamba mmetetea kombe lenu la Robo Fainali
 
Mashabiki wa simba wana vidomo
 

Attachments

  • FB_IMG_1682718995222.jpg
    30.6 KB · Views: 1
Huenda ikiwa game ngumu kwa Yanga nikiwa na sababu zifuatazo:-

1. Kule Nigeria Yanga tulishinda kwa mbinu tu na sio quality ya wachezaji.

2. River United waliwachukulia Yanga poa, wakarelaxy wakijua watashinda walipopigwa la kwanza wskapanic wakajikuta wanapigwa la pili.

3. Yanga game psychology huenda ikawa cost watacheza kwa kurelaxy ili hali River itakuwa jihadi watapambana kweli kweli maana so psychology iliyowagharimu River kwao ndiyo hiyo huenda ikaigharimu Yanga kwa Mkapa.

Lakini ikiwa Yanga wataingia kwa wakiwa na kumbukumbu ya kulipiza kisasi cha kupigwa nje ndani basi wataibuka na ushindi mnono na kutinga semi final na kuweka historia katika ukanda huu.

Niwatakie Yanga ushindi.
 
Niseme tu wazi nakemea na inaudhi sana mechi ya SAA moja usiku mtu anaanzisha thread mid night, huu ni ujinga kusema ukweli.

Maxence Melo lipokee hili na lifanyiwe kazi ikiwezekana game Kubwa thread ya Live iwe ni jukumu la moderator na thread ya porojo kama hii iachwe kwa ajili ya porojo za mashabiki.

Maana thread ya hivi muda wa mechi ukifika unakuta page kibao hujui uanzie wapi.

Hii tabia inaota mizizi kwenye hili jukwaa ni vizuri ikatafutiwa ufumbuzi, mpaka mtu anaweza kudhani kuna malipo yanatolewa kwa atakayewahi kufunguwa thread ya mechi, huu ni ujinga.
 
Mambo yenu ya kufurushwa hayatuhusu
 
Sijaona ubaya wa kuanzisha thread mapema

Kaangalie uzi wa Greatest Of All Time wa mechi ya Wydad vs Simba ulianzishwa saa ngapi afu rudi hapa
 
Mungu ibariki Yanga ...Mungu ibariki Tanzania
 
Robo fainali FC acha wivu wa kike sawa nenda kanye ulale
 
kwa mara ya kwanza bendera ya nchi ikipeperushwa na wananchi kuelekea nusu fainali[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Nilijizuia kunywa pombe toka tulipowapiga kwao mpaka leo, nimetenga kiasi cha 100k naanza saa 8 mchana baada ya kitimoto ya kuchoma nusu na ndizi 3 na maji lita moja na nusu saa saba kamili.

Sherehe za nusu fainali zitaendelea kesho kwa kutoa lock saa 2:00 asubuhi na Supu ya kuku na mamia nyingi
 
Hiyo mechi ndiyo itakayo mfukuza kocha wa robo fainali FC 😂
 
Kundi lenu lilijaa VIBONDE na wote mmetolewa robo hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…