FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Dk 45

Yanga 0 - 0 Rivers

Zinaongezwa dk 2
 
Rivers wanapata kona...

Yanga wanaokoa...
 
Mzize akirudi kipindi cha pili nitajua kweli uchawi upo.
 
Simba alicheza fainali ya CAF cup na wala haikuwa kombe la shirikisho.
Kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup ambapo mwaka 1993 bingwa alikuwa Al Ahly. Na bingwa wa klabu bingwa ambapo kwa kipindi hiko ilikuwa inaitwa Africa cup of champions club akawa ni Zamalek. Kwenye Caf super cup ambapo bingwa wa klabu bingwa anacheza na bingwa wa kombe la shirikisho, ikapigwa kati ya Al Ahly vs Zamalek kisha Zamalek akabeba kombe la CAF super cup.View attachment 2605330
Kumbe simba mnavyosema hajawahi kufika fainali ya klabu bingwa Afrika huwa mnamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom