Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Mtoto ni mjinga sana, niligundua Hana msimamo tangu siku ileTangu atamani futari , Kwisha habari yake
CAF siyo wajinga kuliita kombe la shirikishoLeo zinacheza timu za ovyoovyo, hakika hili ni bonanza
Ni kwa sababu bado una picha ya mashindano yenye timu nzuri. Una picha ya mechi kubwa kama ya juzi. Futa hizo kaa kiconfidaration confidaration.Wote hamna kitu
Una title yoyote ya mashindano weak ya shirikisho hata ya kusingiziwaNaunga mkono hoja ukiangalia mpira wa leo ndo unaona kuna levo tofauti kati ya Champions league na shirikisho
Halafu wanamuita wonder kid. Wonder kid gani aliyemaliza sekondari akaanza kupiga bodaboda ?Huyo mnaemuita Clement sijui Abdul maana kabadili dini hana akili ya Mpira ila anajua kucheza
Hiyo yote ni kujifariji baada ya kutolewa kwenye mashindano,haisaidii chochoteUna title yoyote ya mashindano weak ya shirikisho hata ya kusingiziwa
ambao hamna kitu wako njeWote hamna kitu
Kumbe simba mnavyosema hajawahi kufika fainali ya klabu bingwa Afrika huwa mnamaanisha nini?Simba alicheza fainali ya CAF cup na wala haikuwa kombe la shirikisho.
Kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup ambapo mwaka 1993 bingwa alikuwa Al Ahly. Na bingwa wa klabu bingwa ambapo kwa kipindi hiko ilikuwa inaitwa Africa cup of champions club akawa ni Zamalek. Kwenye Caf super cup ambapo bingwa wa klabu bingwa anacheza na bingwa wa kombe la shirikisho, ikapigwa kati ya Al Ahly vs Zamalek kisha Zamalek akabeba kombe la CAF super cup.View attachment 2605330
Mtazamo wa mtu mmoja huo, hauna uhusiano na mtazamo wa watu wa mpira.Hapa aliitwa HaalandView attachment 2605345
MKUU HIVI HUYO MAMA ALIWAHI KUKUKOSEA NINI!!?Rais ajiuzulu anatoa milioni kumi wakati taa haziwaki.
Sema ya shirikisho, maana CAF kuna Klabu Bingwa inayotambulika 😁Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa mchezaji wa nusu fainali ya caf? Kaa kimya