FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Mayelee....anapiga shuti mtoto kipa anazuia kwa mguu
 
hahaha. Hawa rivers hawana mipango kabisa. Huwezi sema wamezidiwa maana hata Yanga hawachezi vizuri.
 
Wachezaji wanatakiwa wacheze Kwa ku relax, Magoli yapo tu mengi
 
Mayeleee...anapaisha...

Yanga walifanya shambulizi la kushtukiza, mpira wa mwisho kwa Mayele haukuwa mzuri sana
 
Mayele anakosa goli, hata Hivyo alikuwa kwenye nafasi ngumu ya kufunga
 
Back
Top Bottom