adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Mudathir kwenye kufanya maamuzi sahihi ya mwisho mara chache sana kupatia.Si mnaona huyo mbuyungu mwingine Mudathiru anachofanya,kocha karidhika kisa alibahatisha kule Nigeria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mudathir kwenye kufanya maamuzi sahihi ya mwisho mara chache sana kupatia.Si mnaona huyo mbuyungu mwingine Mudathiru anachofanya,kocha karidhika kisa alibahatisha kule Nigeria
Kwa hiyo hiyo Timu Haina wachezaji wa kufanya hayo maamuzi?Mudathir kwenye kufanya maamuzi sahihi ya mwisho mara chache sana kupatia.
Kuna kitu amekisoma wamekuja kwa shari Hawa wanigeriaLeo Nabi kazingua sana, timu ipo nyumban inatafuta ushindi halafu inacheza na Mshambuliaji mmoja?
Sio CAF, sema shirikisho, usione aibu 😁Level zipi[emoji23][emoji23] kama timu yako haipo nusu fainali caf kaa[emoji850][emoji850]
Mapmb ndo inafanya Kazi.🤣🤣🤣 Nyie wenye nayo hebu yabaneniBana hata mashavu tu,
Au hujui kwenye msafara wa mamba kenge huwepo
Mganga wakeHivi huyo Aziza k nani alimwambia awe anapandisha pensi yake
Imagine timu ya Bonanza ya Afrika kusini inashuka Daraja lakini ipo nusu fainali🤣Matokeo ya bonanza ngapi ngapi uko
Game itakuwa tamu sn mkuu.Yanga aongeze mbinu sn maana jamaa wapo serious sn
Mbona kama unataka kuliaHalafu timu inacheza nyumbani shot on goal 0
Ngoja nifanye hivyo[emoji23][emoji23]Mapmb ndo inafanya Kazi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie wenye nayo hebu yabaneni
Si alikuwemo Mayele na Mzize, mkalalamika akamtoa bodaboda Mzize?Leo Nabi kazingua sana, timu ipo nyumban inatafuta ushindi halafu inacheza na Mshambuliaji mmoja?