FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Hahahahahahahahhahahhahahahah
Mlibahatishaaaaaa
 
Yanga wanapata kona...

Inapigwa kati....kipa ananyaka
 
Baada ya gemu hii kuisha itabidi warudie gemu ya Simba vs Wydad ili tusahau hiki tulichoona leo.
 
Hii timu iliombewa na waziri iingie Super League kama viti maalumu. Hapana aisee, labda iende kama timu-kichekesho
 
Ona Hawa wanapoteza muda, badala wawahishe kupiga kona
 
Halafu timu inacheza nyumbani shot on goal 0
 

Attachments

  • Screenshot_2023-04-30-21-18-46-13_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    52.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…