Nikikibana timu inafungwa tatu mtawaliaπ€£π€£π€£Bana kicssmi tu hamna namna
CAF ni nini we mbwa?Sio CAF, sema shirikisho, usione aibu [emoji16]
Yanga hatuitaki tena nusu fainali tunaomba waingie mandunduka wakapige shot kwenye targetHalafu timu inacheza nyumbani shot on goal 0
2000 BImagine timu ya Bonanza ya Afrika kusini inashuka Daraja lakini ipo nusu fainali[emoji1787]
Amemwambia acha utotoChezaji la million 400 refa kaliambia lishushe bukta liache kukaa uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mandunduka wengi kichwani hamnazoCAF ni nini we mbwa?
Hivi huyo Aziza k nani alimwambia awe anapandisha pensi yake
Kweli Kwa utopolo huu wa Leo hatuwezi kuwa na furahaMnaingia nusu fainali ila hamna furaha
Mechi ya bonanza hiiMbona kama unataka kulia
Ni kama tunaangalia UMITASHUMITA tuJamani nasiki hakuna shot on target
CAF ni shirikisho la soka Afrika, na linaendesha mashindano ya Champions League kama mashindano makuu, na wanaoyashindwa wanakusanywa wakacheze shirikishoCAF ni nini ?