FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Yanga wanapata freekick...

Morrison anapiga, njeee
 
Wachezaji hawaoneshi spirit yoyote ya kupambnaa. Yaani washabiki wamehamasika kuja uwanjani ila machezaji yanacheza kisengerema..
 
CAF ni shirikisho la soka Afrika, na linaendesha mashindano ya Champions League kama mashindano makuu, na wanaoyashindwa wanakusanywa wakacheze shirikisho
Wanakusanywa ndo neno la mwingi.
 
Dk 90

Yanga 0 - 0 Rivers

Mpira unachezwa kwenye dakika 3 za nyongeza sasa
 
Wananchi mbona mnashangaa wakati mpira umeisha huu? Hamjiamini?
 
Sasa na kuwamwagia tindi kali kwny gari lao na kuwaibia mi nikajua watakua dhaifu wafungwe hata 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…