Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipi hilo jamanii? Li kii?Nimekereka lile Bwege linapata nafasi 2 za wazi kwenye mechi ngumu kama hii afu linakosa kutumia hata 1 tu, sijui lilikuwa linahisi linacheza na mbuzi uwanjani? [emoji57]
Draw ni ile Ile.Kwanini?
Au kuna Draw Inachezeshwa tena?
Hahah hili kama lina mvuto..KUFA KIUME FC 😀
kwani yanga hapeleki moto away na homeTuombe iwe hivyo
Ila Marumo ni nyoko ni kama kaka yake Mamelodi wanapeleka moto haijakishi Home au Away
Nimecheka sana😁😁😁😁Nme muonesha kombe lao View attachment 2605422
Roho mbaya haijengiHii mechi hata hapo Kenya tuu east Africa wenzetu haijaangaliwa..watu wako busy na EPL
KWAHIYO HAPO NIMEKOSA ADABU GANI!!?Mkuu achana na habari kama hizi mama ni mkuu wa nchi kuwa na adabu
Anhaaa...Draw ni ile Ile.
Walisema nusu fainali mshindi kati ya Yanga vs Rivers atacheza na mshindi kati ya Pyramids vs Marumo.
Mshindi kati ya Yanga vs Rivers ataanzia home.
Lile lililobadili dini sababu ya Binadamu mwingine ilihali kiumbe chenyewe huwa hakitabiriki ndiyomaana tuliambiwa tuishi nacho kwa akili.Lipi hilo jamanii? Li kii?
Ila usijali mmeshafuzu
Mtani weekend hii umeimaliza mwenyewe bila hata ya kunialika nikupe kampani, si uchoyo huu Mamaa?Lipi hilo jamanii? Li kii?
Ila usijali mmeshafuzu
YUpo kwny fungate labda nguvu zimeishaLile lililobadili dini sababu ya Binadamu mwingine ilihali kiumbe chenyewe huwa hakitabiriki ndiyomaana tuliambiwa tuishi nacho kwa akili.
Kuna watu wameona afadhali wawaangalie madogo wa AFCON U-17 kuliko utopolo wa kwa Mkapa.Roho mbaya haijengi
Mm nilikua shambani ndo narudi nasikia kuna mechi...Mtani weekend hii umeimaliza mwenyewe bila hata ya kunialika nikupe kampani, si uchoyo huu Mamaa?