Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Huyu wa jana ni kaka yake na mwamedi dewj?Refa from Jangwani
Pole kwa maumivu.Refa from Jangwani
Moto wa kwenye mashindano gani [emoji1787]Huu moto wa Yanga sidhani kama hata raja wanaweza kuugusa
Ujinga huu ndio unakufanya unafiki GSYanga ni kama baiskeli ya kunolea visu, kelele nyingi ila wapo hapohapo
WoyoooooooooooWanakosa hiyo penati