Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Eqqqqq qqHakuna cha ku relax anakuja full mziki, tukimpiga zaidi ya goli mbili anakua wa pili kwenye kundi nani anataka kuwa wa pili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eqqqqq qqHakuna cha ku relax anakuja full mziki, tukimpiga zaidi ya goli mbili anakua wa pili kwenye kundi nani anataka kuwa wa pili?
Unamasikitiko mengi sanaTp Mazembe ndio kibonde wa grupu, Uto wasipochukua alama 6 kwa Mazembe ntawaona wazembe kuliko Mazembe wenyewe
Halafu naskia mmiliki wa timu bado ana amini kikosi kipo vizuri ila shida ipo kwa mwalimu
Nilisikitika sana kwakweli