FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Hata kwenye 1st leg kule Mali, Nabi alikuwa akimuwakia sana Azizi Ki
Sijui kwa nini mchezaji wao akisemwa wanadhani wana wajibu wa kumtetea. Ni aina fulani ya ushabiki kama unapambania dini yako vile, hawajui hawa ni wachezaji tu siyo watakatifu. Nashukuru sasa Nabi tutaweza kumtumia kama reference kwenye mada zingine za Aziz Ki 🤣😂🤣
 
Hata kwenye 1st leg kule Mali, Nabi alikuwa akimuwakia sana Azizi Ki
First leg ya kule Mali aliyekuwa anafokewa sana ni Mudathir sio Aziz K. Aziz Ki aliingia Sub na ndiye aliyeongeza uhai kwenye kutengeneza mashambulizi kama sikosei yeye ndiye aliyehusika kwenye pasi ya mwisho kwenye goli la Mayele kule Mali.

Kuhusu kiwango chake, sikatai kuna baadhi ya mechi kaonesha kiwango kisichoridhisha kwa kosa la kujirudia rudia la kupoteza mipira ovyo. Lakini hilo ni kawaida kwa wachezaji kwavile ni binadamu haiwezekani kuwa na ufanisi ule ule kila siku. Kwenye mpira wa miguu kuna wachezaji ambao hutokea kutopendwa na mashabiki wa timu mahasimu halafu kuna wachezaji hutokea kutopendwa na wa timu husika.

Mwanzoni alikuwa Mayele ndiye mchezaji anayeongoza kwa kupondwa na mashabiki wa Simba, maneno yakawa ni mengi na wakiangalia mpira wao wanaangalia tu makosa ya Mayele. Sasa baada ya kumalizana na Mayele wameamua kubadilika na kuwa match analyst wa Aziz Ki na wanachofurahia kuona ni makosa na kisha kuyakuza ila yale mazuri hayakuzwi.

Aziz Ki mara nyingi sana anaifanya timu itengeneze nafasi, akipata mipira anaitenga kwenye maeneo yenye nafasi lakini unakuta hakuna mtu, anachukua mipira kisha anaachia na kuifungua ngome ya wapinzani na huwa anarudi hadi nyuma kusaidia katika ukabaji. Mchezo unaweza kumkataa mchezaji akawa yupo nje na mchezo..

Kwanini Mayele anayekosesha nafasi za wazi kibao sana tena kwenye mechi zaidi ya nne hamuuimbi kuwa Yanga imepigwa?
 
Sawa, nendeni mkapambane. Mimi ninachowaomba msifanye vurugu tu mkatishia uwanja wetu kufungwa au kuharibu taswira ya mpira wetu. Mechi kama hizi zinakuwaga na hisia sana.
Bamako, na Tp Mazembe walifungwa kwa vurugu? Mbona umeanza kuandika vitu vya ajabu? Kila mtu awaze ya timu yake, wewe waza ya Horoya huko au ujui kuwa unatakiwa ushinde ndio ufuzu
 
Sawa, nendeni mkapambane. Mimi ninachowaomba msifanye vurugu tu mkatishia uwanja wetu kufungwa au kuharibu taswira ya mpira wetu. Mechi kama hizi zinakuwaga na hisia sana.
Sasa kweni haujui timu yenye history ya kuharibu uwanja ni Simba ?
 
Kweni huwezi kuchangia hoja bila kuitana majina yasiyoeleweka.
🤣😂🤣 ila najaribu kupata picha siku hiyo mmepigwa na Monastir halafu hapo hapo mmepata taarifa Mazembe kampiga Bamako, mtakuwa kwenye hali mbaaaya sana kisaikolojia ndiyo maana nimetoa angalizo. Mkienda kumfunga TP kwao kwenye mazingira hayo nitawapa heshma ya kipekee.
 
Heshima hata usipoitoa hiyo ipo tu maana hata hapa kwenye ligi kuu unaona gape la point lilivo.
 
Hii ligi hamna mtu mwenye akili zake anaweza kuwapongeza. Kwa hilo utanisamehe 🤣😂🤣
 
First leg ya kule Mali aliyekuwa anafokewa sana ni Mudathir sio Aziz K. Aziz Ki aliingia Sub na ndiye aliyeongeza uhai kwenye kutengeneza mashambulizi kama sikosei yeye ndiye aliyehusika kwenye pasi ya mwisho kwenye goli la Mayele kule Mali.

Kuhusu kiwango chake, sikatai kuna baadhi ya mechi kaonesha kiwango kisichoridhisha kwa kosa la kujirudia rudia la kupoteza mipira ovyo. Lakini hilo ni kawaida kwa wachezaji kwavile ni binadamu haiwezekani kuwa na ufanisi ule ule kila siku. Kwenye mpira wa miguu kuna wachezaji ambao hutokea kutopendwa na mashabiki wa timu mahasimu halafu kuna wachezaji hutokea kutopendwa na wa timu husika.

Mwanzoni alikuwa Mayele ndiye mchezaji anayeongoza kwa kupondwa na mashabiki wa Simba, maneno yakawa ni mengi na wakiangalia mpira wao wanaangalia tu makosa ya Mayele. Sasa baada ya kumalizana na Mayele wameamua kubadilika na kuwa match analyst wa Aziz Ki na wanachofurahia kuona ni makosa na kisha kuyakuza ila yale mazuri hayakuzwi.

Aziz Ki mara nyingi sana anaifanya timu itengeneze nafasi, akipata mipira anaitenga kwenye maeneo yenye nafasi lakini unakuta hakuna mtu, anachukua mipira kisha anaachia na kuifungua ngome ya wapinzani na huwa anarudi hadi nyuma kusaidia katika ukabaji. Mchezo unaweza kumkataa mchezaji akawa yupo nje na mchezo..

Kwanini Mayele anayekosesha nafasi za wazi kibao sana tena kwenye mechi zaidi ya nne hamuuimbi kuwa Yanga imepigwa?
Duh, mkuu umeguswa sana na hii mada. Pumua kidogo. Napata picha umeandika hivi huku machozi yanakutoka 🤣😂🤣
 
Mayele mbona tumemsema sana kwa ishu ya uchoyo wake humu lakini mmekuwa mkituandama kuwa ni haters

Huyo Mayele unayemsema kwanini hatumsemi, jana alisemwa na kocha

Tena kinachofurahisha ni kuona kocha anasema maneno yaleyale ambayo sisi tulikuwa tunayasema.

Uzuri ni kwamba wote tunajua inavyokuwa, mechi mngepoteza yale maneno tuliyosema sisi mngeyasema nyie.

Kipindi ambacho timu inapoteza mchezo ndio kipindi ambacho shabiki wa hiyo timu anaweza kusema yale yaliyo kweli. Lucky haikuwa hivyo
 
Siko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfa

Halafu na sisi tukiwasema wachezaji wao negative (tena kwa yale ambayo ni ya kweli) wanakasirika na kuanza kutoa maneno mabaya kwa wengine.

Sasa tulichokuwa tunakisema sisi kuhusu low performance ya Azizi Ki na kuitwa hater, kimesemwa na Nabi ambaye ni kocha mkuu...sasa huyo mdau nataka nimuone akijitokeza kumpinga Nabi na kumuita hater vinginevyo yeye ndio hater na juha mwenye mahaba na mchezaji.

Wengine wamejaribu kusema kumtetea Azizi Ki eti kwakua alifunga bao kule Tunis, kwa maana hiyo Nabi anapoonesha kutopendezwa na kiwango cha Azizi Ki hilo hakuliona au wao wana vision kubwa ya mpira kumzidi kocha.

Au hata mashabiki wa Simba hawapaswi kumsema Kibu kwasababu alisababisha tupate goli muhimu kwenye mechi ya Mbeya City.

Ni ujinga tu
Qqqq you q
 
Back
Top Bottom