Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
5m au sioHatutaki magoli ya penati sisi
Hujui mpira wewe, timu inaaibisha nchi pale inapolambwa magoli mengi nyumban.. hapo huoni hao uto wapo ugenini?
Kulikoni?Aisee uwanja kimyaaaaa kama kapita jini
We nawe mbea sana [emoji28]Wamekosa
Kwasababu level hizi za losers mpira huamuliwa kwa vitu kama hivyo na sio kiwangoHaikuwa rizki...
Nini kimetokea? (in Mwamposa voice)Aisee uwanja kimyaaaaa kama kapita jini
Bila mjadala rafu hatarishi ile.Djuma Shaban alipaswa alambwe red card