mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #121
Nipo mzee mwenzangu wa mbususuUpo mzee wa kuchakata
Kisa kafunga goli rahisi hili la loosers competitive!Mayele mmoja ni sawa umchukue Haland+Mbape+Rashford+Baleke+phiri
Unatesekea ukiwa pande zipi?Kisa kafunga goli rahisi hili la loosers competitive!
Hao sio mambumbumbu kama mashabiki wa makoloMashabiki wa Uto wamepoa sana uwanjani. Hawana vibe kabisa wanaogopa
Ahadi sio deniMpaka sasa Yanga wana jumla ya mil 25 za mama
Wakati wale watoto wa kambo wana mil 10 nazo za taabu kweli kweliMpaka sasa Yanga wana jumla ya mil 25 za mama
πππNipo mzee mwenzangu wa mbususu
Umekula mchana?Ahadi sio deni
Hata wanangu huwa nawaambia nitawaletea helicopter.
Sawa daima nyuma mwiko labda ndo kinachowazuia wasiliamshe.Hao sio mambumbumbu kama mashabiki wa makolo
Pressure ikielekea langoni hazina budi kutokea, wala si suala la kuziruhusu au kutoruhusuHizi faulo za karibu na goli tusiziruhusu
Wacha tuone mkuuPressure ikielekea langoni hazina budi kutokea, wala si suala la kuziruhusu au kutoruhusu
Nimekula ugali na sukari murereUmekula mchana?